I see, huyu jamaa alikuwa ni mwanasiasa kule jimbo la John Cheyo, watu wa Maswa wanasema alikuwa anakubalika zaidi ya Cheyo, kwa bahati mbaya kabisa, sikufuatilia tena na nilikuwa sijui kama ameshafariki. RIP JIDULA.
Huyu Amani Nzugile alikuwa mwanaccm kindakindaki na mfanyakazi wa Shirika la Bima la Taifa(NIC). Wakati fulani aliingia kwenye kura za maoni CCM moja ya jimbo huko kwa wasukuma bahati mbaya akapigwa chini, alishindwa kukubaliana na matokeo yale na ndo ukawa mwisho wake maana alikufa ghafla . Nimewahi kudate na mwanae enzi hizo.