Hahahah feel free to wear it lolOne of those 'if the shoe fits' type of situations!
Hahahah feel free to wear it lol
Ni muhimu tukafahamu hiyo 'ndi ndi ndi' manake nini? Halafu hayo maneno “Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote” yanatia shaka angefafanua alitoa nini akanyimwa nini?MKONGWE wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide, amefunguka kuwa katika wimbo wake mpya wa Ndindindi, hajampiga kijembe aliyekuwa mumewe, Mtangazaji Gardner G. Habash kama wengi wanavyodhani.
[http://www]
Jide na aliyekuwa mumewe, Gardner
Akizungumza na mwanahabari wetu, Jide alisema wimbo huo ulitungwa na watu wake tofauti na yeye kuukamilisha hivyo kwa kuwa umebeba ujumbe mzito ni rahisi mtu kuhisi amemuimba mtu fulani kumbe yeye aliimba kwa ajili ya mashabiki wake wote.
“Sijampiga kijembe huyo wanayemsema (Gardner). Mimi nimetumia utunzi wangu kuwakilisha yale yanayotokea katika jamii mbalimbali sasa kama mtu anaona umemgusa fulani atakuwa amejiongeza tu lakini mimi sikumaanisha mtu mmoja bali ujumbe kwa mashabiki wangu wote,” alisema Jide.
Kwenye wimbo huo kuna sehemu Jide kaimba; “Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote” ambapo iliaminika amemzungumzia Gardner.
alimpa gadner upendo na mali zake but mwisho wa siku hakupata mapenzi , jide asitufanye sie matahiraNi muhimu tukafahamu hiyo 'ndi ndi ndi' manake nini? Halafu hayo maneno “Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote” yanatia shaka angefafanua alitoa nini akanyimwa nini?
Mi nimependa tu ubunifu , the ndi ndi ndi, dah jide mbaya nyieNi muhimu tukafahamu hiyo 'ndi ndi ndi' manake nini? Halafu hayo maneno “Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote” yanatia shaka angefafanua alitoa nini akanyimwa nini?
Huyo mama nae, kwani siku zooote walivyokuwa 'wakishow love' walikuwa manatuchuuza?alimpa gadner upendo na mali zake but mwisho wa siku hakupata mapenzi , jide asitufanye sie matahira
Ni muhimu tukafahamu hiyo 'ndi ndi ndi' manake nini? Halafu hayo maneno “Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote” yanatia shaka angefafanua alitoa nini akanyimwa nini?
Mkuu hii ni bongo fleva sio taarabu, kama ingekuwa taarabu unafikiri tungeuliza, ingekuwa pouwaKwani Yale manyimbo ya taarabu ambayo wamama wa uswazi upiga kwa sauti ya juu ili kuwakoga wenzao huwa ni kweli yametungwa kwa ajili ya hao kuwakoga wenzao?
Mkuu hii ni bongo fleva sio taarabu, kama ingekuwa taarabu unafikiri tungeuliza, ingekuwa pouwa
Huyo jamaa ye kukumchana mtu kwake sio tatizoKwa mwanamuziki mkubwa kama Jd nilitegemea akiulizwa atajibu hivyo. Ni Ney wa mitego tu anaweza sema wimbo huu nimemuimba Wema kama anabisha niliyosema aje hapa uso kwa uso akatae..
Mkuu hii ni bongo fleva sio taarabu, kama ingekuwa taarabu unafikiri tungeuliza, ingekuwa pouwa
Mkuu ongezea na, "Alitoa kwa nani na nani alimnyima vyote".Ni muhimu tukafahamu hiyo 'ndi ndi ndi' manake nini? Halafu hayo maneno “Niliwezaje kutoa vyote ili hali wewe ulininyima vyote” yanatia shaka angefafanua alitoa nini akanyimwa nini?
Kwani jide hana hivyo vyote[emoji15]Mwanamke Sura, Tako na Kiuno ukikosa hivyo hata umiliki Dunia nzima Kidume chako lazima kika Pump hata kitaa kwa housegirl wa jirani!
wajaaamen wewe ni kipofu...jide kajaaliwa sauti ya kuimba tuu..hivyo vingine hana hata chembe..upooKwani jide hana hivyo vyote[emoji15]