Hii inaweza kuwa aibu nyingine kwa upande wa wasanii wa bongo fleva,na ndio maana mnadharauliwa na watoto wa kike na kuitwa majina ya ajabu kama hayo ya mwanafatuma,nimekaa nikawaza nikapata jibu hili,kumbe jide ndiye msanii pekee apa bongo mwenye mkwanja mrefu kuliko msanii yeyote ndiyo maana analeta dharaView attachment 97392u hadi kufikia hatua ya kuwatukana wanaume na kuwakashfu,juhudi za dhati zinahitajika ili muondokane na hii aibu,fanyeni kazi kwa bidii,acheni starehe zisizokuwa na maana,hawa ndio wasanii wanaoongoza kwa mkwanja apa bongo
1.LADY JAYDEE
2.DIAMOND
3.AY
4.PROF JAY
5.JUMA NATURE
Kwa mtindo huu msiitwe mwanafatuma mchezo
SOURCE😀J SEK BLOG
Mada yako ina matege halafu ina makengeza ila nitachangia kwa faida ya Jide na hao wengine
Jide atakuwa mpumbavu mno akikubali hizi sifa za kijinga mitandaoni na kwingineko inawezekana kabisa akawa anaongoza bongo kwa utajiri lakini aangalie mbele zaidi kuwa enzi zake zikiisha atabaki na nini? Pia ajilinganishe na wasanii wengine wa Afrika mashariki kwanza baadae Afrika yote na mwishowe dunianzima atajikuta hana kitu kabisa Kwa hiyo bado safari ni ndefu Hapa kwetu
Tunatamani kuona Siku moja tuna wasanii ambazo wana miliki vitega uchumi kama
majumba ya ghorofa migodi hisa kwenye makampuni ya kimataifa nk nk
Tunatamani kuona Siku moja tuna wasanii mwenye kumiliki boti na magari ya kifahari na mkwanja uliotulia bank usiopungua dola million hamsini na ushee
Tunatamani kuona Siku moja tuna wasanii ambazo wanajulikana kimataifa na hata show zao zinakuwa bab kubwa na ghali huko ughaibuni
Tunataka Siku moja tuwe na wasanii ambao wasanii wa kimataifa wanawafuata kufanya nao featuring
Ndio tatizo la Serikali yetu mitoto mijinga isiyokuwa na akili kama huyu mleta thread inapata zero halafu serikali haiyamini kama haya matoto hayana akili.
Acha ujinga...kashifa iko wapi.... Unatengeza headline unaandika utumbo...blood imbecile..