Jicho ndo habari ya mjini

Mngepewa nafasi ya kuumba nyinyi..uwiiii sijui hii dunia ingekuaje
 
Jicho lipi unalopenda weyeeee?????sie wengine twapenda bao la kete macho muachie fundi saa yaghee
 
Kwa kuongezea kila jicho zuri lina mvuto wake.
 
nilivyosikia jicho nikawaza kule 0713 kumbe jicho rembuo...hata mimi huwa navutiwa sana nalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…