Dhambi ya namna hii huanza kwa kuona, then moyo unapenda, na kisha mwili unatamani kufanya kila moyo unachovutiwa nacho. Ni vizuri kuwa na msimamo hata kama uliyemuona anavutia kiasi gani, usipofanya hivyo utaangukia kwenye vifua vya watu wangapi wa dunia hii?
Mambo yakikuzidi, mnunullie huyo mpenzi wakohizo nguo awe anakuvalia hivyo chumbani kwako kila siku ili ushinde majaribu kama haya, looh!