Jicho la tatu mechi ya Simba vs Yanga iliyojezwa Jumapili

mchawi wa kusini

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
805
810
Habari ya asubuhi Wana JF poleni Kwa matokeo yaliotokea Na Wenye furaha hongereni. Ngoja Niende Kwenye Point Kuhusu Simba SC kufungwa Goal nyingi zidi ya mtani wake yanga. Huku Simba SC akiwa chini ya mwenyeki Murtuza Mangungu.

Sababu ya Kufungwa Simba Moja Kuna Vina 7 inaonyesha ile mechi ndani ya Simba Kuna usaliti umetokea, hivyo Mechi ile Ndani ya uongozi ya Simba SC Kuwa watu wameuza Siraha Zao Kwa mpizani.

Hivyo Hakuna Haja Ya kuendelea Kuendelea Wajue kabisa Kuna yuda pale Simba SC Huyu MURTUZA MANGUNGU Ni yuda Aliyejificha ndani ya Simba SC

Kuna hatua zichukulie Juu ya Mwenyeki wa Simba SC Ndani ya saa 72 huyu Anayejiita Murtuza Mangungu

Kubwa Zaidi Murtuza Mangungu Anatakiwa Ajiuzulu ndani Ya Saa 72 Kama asipojiuzulu Simba SC hatakuja Kumfunga Yanga Miaka yote Atapokaa pale Murtuza Mangungu ni yuda ambaye Amejigicha.

Ombi langu: VIONGOZI NA MASHABIKI WA SIMBA SC MPENI MURTUZA MANGUNGU NDANI YA SAA 72 AWE AMESHAJIUZUHUTU KWA RIDHAA YAKE.

Hapo mtakuja Kunishukuru Baadae.
Karibuni Kwenye Mjadala
Shukrani Kwa Wote JF.
 
Murtaza Mangungu na Try Again walimsakama sana Barbla vita ya chini chini ndani ya club aondoke wafanye yao.
 
Simba Mna shida sana

Kubalini mmezidiwa na Yanga alafu kaeni chini tengenezeni timu yenu kisayansi kwa kusajili vizuri, tafuteni mwalimu mzuri na pandisheni morali ya wachezaji. Hii ya kukaa kuanza kutafuta sababu za kingese itawakisti zaidi
 
Kuhusu
chama mlilazimisha viongozi scheme
mixon mlilazimisha viongozi scheme
kipa manura ni kipenz chenu viongozi

mkifungwa mnamlaumu kocha. Mwacheni kocha atengeneze timu
 
Habari ya asubuhi Wana JF poleni Kwa matokeo yaliotokea Na Wenye furaha hongereni.
Ngoja Niende Kwenye Point Kuhusu Simba SC kufungwa Goal nyingi zidi ya mtani wake yanga.
Huku Simba SC akiwa chini ya mwenyeki Murtuza Mangungu.
Sababu ya Kufungwa Simba Moja Kuna Vina 7 inaonyesha ile mechi ndani ya Simba Kuna usaliti umetokea,hivyo Mechi ile Ndani ya uongozi ya Simba SC Kuwa watu wameuza Siraha Zao Kwa mpizani.

Hivyo Hakuna Haja Ya kuendelea Kuendelea Wajue kabisa Kuna yuda pale Simba SC Huyu MURTUZA MANGUNGU Ni yuda Aliyejificha ndani ya Simba SC

Kuna hatua zichukulie Juu ya Mwenyeki wa Simba SC Ndani ya saa 72 huyu Anayejiita Murtuza Mangungu

Kubwa Zaidi Murtuza Mangungu Anatakiwa Ajiuzulu ndani Ya Saa 72 Kama asipojiuzulu Simba SC hatakuja Kumfunga Yanga Miaka yote Atapokaa pale Murtuza Mangungu ni yuda ambaye Amejigicha.

Ombi langu: VIONGOZI NA MASHABIKI WA SIMBA SC MPENI MURTUZA MANGUNGU NDANI YA SAA 72 AWE AMESHAJIUZUHUTU KWA RIDHAA YAKE.

Hapo mtakuja Kunishukuru Baadae.
Karibuni Kwenye Mjadala
Shukrani Kwa Wote Jf.
Unamaanisha Simba haitakiwi kabisa kufungwa, haitakiwi kufungwa na Yanga au haitakiwi kufungwa goli 5?

Umesema kuna vinasaba vinavyoonesha Mangungu ni yuda, ila Cha ajabu umekimbilia kutoa amri Mangungu ajihudhuru ndani ya masaa 72, bila hata kusema hivyo vinasaba vyenyewe, au ndio unasubiria tukuulize?

Hivi kwanini kila timu yenu inapofungwa, basi mnahisi kuna hujuma?. Nyie hamjawahi kushinda goli 5, 6 au 8? Au huwa mnahonga wahusika kwenye hizo timu, ndio maana na nyie mkifungwa hivyo mnahisi kuna hujuma?.

Kila mkipata matokeo mabaya, basi mnaanza kunyoosheana vidole, badala ya kuangalia tatizo.

Turudi kwenye mechi ya tarehe 5, hivi Kapombe kuzidiwa spidi kwenye lile goli la Max na Azizi, napo utamlaumu Mangungu? Au walipewa maelekezo?

Penati ya Inonga, goli la Musonda nk. Kwa yeyote aliyekuwa anaangalia ile mechi ni rahisi kugundua kwamba Kibu ndio alikuwa mhimili kwenye kushambulia na kuzuia pia, tokea alivyotoka yeye ni shambulizi lipi lamaana Simba mlifanya? Au tokea alivyotoka, uliona mipira inaka mbele? Mlikuwa hamvuki hata nusu ya uwanja.

Kama mnawalaumu viongozi, basi walaumuni kwa kushindwa kusajili wachezaji wa maana. Lakini ilo pia mashabiki mnapaswa kulaumiwa, maana kipindi cha usajili mlikuwa mnawapongeza viongozi kwa usajili waliofanya.

Angalieni mechi zote za msimu huu, ipi ambayo mmepata matokeo kwa wepesi? Zote mnatumia nguvu sana. Kiufupi timu yenu hamna kitu. Hata huo ukuta wa Yericko, wote ni ball dancers. Uliona wapi beki wa kati anakuwa ball dancer au anacheza na jukwaa?
 
Back
Top Bottom