kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
Cheo elimu na pesa kwa wanawake hujikuta wakiuvua uanamke na kuona wajibu wao kama wanawake umefika mwisho. Japo sio wote lakini asilimia kubwa wako hivyo. Jeuri, kiburi, dharau.
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app