jobel JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 321 Reaction score 174 Jun 20, 2014 #1 Mtihani, kaazi kwelikweli! Jamaa amepatwa na homa ya mtihani! Attachments IMG-20140606-WA0001.jpg 8.8 KB · Views: 824
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Jun 20, 2014 #2 jobel said: Mtihani, kaazi kwelikweli! Jamaa amepatwa na homa ya mtihani! Click to expand... Nimecheka sana!
jobel said: Mtihani, kaazi kwelikweli! Jamaa amepatwa na homa ya mtihani! Click to expand... Nimecheka sana!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jun 20, 2014 #3 Kuna vilaza wengine hawana tofauti na kula ada tu
jobel JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 321 Reaction score 174 Jun 21, 2014 Thread starter #4 SHIEKA said: Nimecheka sana! Click to expand... Mkuu SHIEKA,jamaa ndo upeo wake wa kuelewa huo!Walimu wana kazi kubwa sana.
SHIEKA said: Nimecheka sana! Click to expand... Mkuu SHIEKA,jamaa ndo upeo wake wa kuelewa huo!Walimu wana kazi kubwa sana.
jobel JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 321 Reaction score 174 Jun 21, 2014 Thread starter #5 Bulldog said: Kuna vilaza wengine hawana tofauti na kula ada tu Click to expand... Hapo kapiga shule,hebu pata picha mtu wa aina hiyo bila ya shule angekuwaje!
Bulldog said: Kuna vilaza wengine hawana tofauti na kula ada tu Click to expand... Hapo kapiga shule,hebu pata picha mtu wa aina hiyo bila ya shule angekuwaje!
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Jun 21, 2014 #6 jobel said: Hapo kapiga shule,hebu pata picha mtu wa aina hiyo bila ya shule angekuwaje! Click to expand... Mtu kama huyu unampeleka bunge la katiba kweli itaweza kutungika
jobel said: Hapo kapiga shule,hebu pata picha mtu wa aina hiyo bila ya shule angekuwaje! Click to expand... Mtu kama huyu unampeleka bunge la katiba kweli itaweza kutungika
O Orng'adida Member Joined Jan 30, 2012 Posts 38 Reaction score 4 Jun 21, 2014 #7 Aisee huyo dogo anatakiwa asirudi nyumbani au vinginevyo arudi na ada ya baba yake ya toka chekechea. Haya ndo matokeo ya serikali ya ccm.
Aisee huyo dogo anatakiwa asirudi nyumbani au vinginevyo arudi na ada ya baba yake ya toka chekechea. Haya ndo matokeo ya serikali ya ccm.