Badilisha kwenye kelvin scale ( 0 + 273.15) halafu zidisha mara mbili ( 546.30 ), baada ya hapo rudisha kwenye celsius scale ( 546.30 - 273.15 ) ambayo ni 273.15 celsius
Pia kuna hii formula;Tc=5/9(Tf-32) au Tf=9/5Tc+32,nikianza na 0 degree centigrade;Tf=(9x0)/5+32=32 fahrenheit degrees;32x2=64 fahrenheit degrees,sasa naibadili kuwa centigrade;Tc=5/9(64-32)=17.78 degree centigrades,hapo vp wataalam?
Badilisha kwenye kelvin scale ( 0 + 273.15) halafu zidisha mara mbili ( 546.30 ), baada ya hapo rudisha kwenye celsius scale ( 546.30 - 273.15 ) ambayo ni 273.15 celsius