GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,542
- 108,877
Mmepanda Ndege yenye Uwezo wa Kubeba Abiria 270 na mara ghafla mpo Angani tena umbali wa Futi nyingi za Usawa wa Bahari halafu Abiria mkaanza Kushikwa na Matumbo ya Kuhara ambayo ni lazima tu yatakufanya ukitafute Choo kilipo na Wote tunajua katika Ndege kuna Choo Kimoja tu je ikitokea Abiria wote mmeshikwa na Haja Suluhisho humo litakuwaje? Na kumbukeni kuna wengine wakishikwa na Haja ( tendo la Kunya / Kuharisha ) huwa wanachukua hata dakika 15 hadi 45 kumaliza.
Karibuni.
Karibuni.