Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 419
Mama niweke wapi hii sahani
HahahIache hapo hapo ntaondoa mwenyewe
Umetisha-Itafune polepole kwa chai.
-kaiweke kitandani kwako.
-kaiweke chooni tutaitumia kubebea kibuyu cha kujiswafi.
-jibamize nayo usoni huku unatabasamu.
Nadhani inatosha ndugu zangu!
Huyu mama wa kipemba.Weka kwenye makalio yako
Hahaha noma sanaHuyu mama wa kipemba.
Hahahah※ Iache hapo hapo atakuja kuitoa baba ako
※ Njoo uweke kichwani kwangu
※ Iweke mgongoni kwa shangazi ako (mashangazi sjui tulikosea wapi?
※Kaiweke juu ya bati..
Shkamoo wamama![]()