Barabara zinazozunguka stendi ya makumbusho ni mbovu sana na mvua ikinyesha wananchi wanapata tabu sana na manispaa imekuwa kimya kuhusu kuboresha miundombinu ya hapo. Watanzania wengi wanaitumia hii barabara kwa sasa wenye magari yanakuwa mabovu na watembea kwa miguu wanachafuka vumbi kweli kweli mpka unatamani ugairishe safari yako ili ukabadilishe nguo....