Jiandaeni kumwona Samata live hapo saa 1 usiku

motonkafu

JF-Expert Member
Dec 2, 2015
1,019
703
Timu yake inacheza leo saa 1 dk 55 usiku mechi itarushwa live na Fox sports kwa wake wa kingamuzi cha azam
 
Wanaongoza moja bila.. Kafunga samatta dk ya 24
Safi sana aisee, atuwakilishe vema huko nje.
Moja ya kipengele cha mkataba wake ni kuwezesha kuchukuliwa vipaji zaidi kila mwaka toka hapa Tanzania, yaani Genk itakua kila mwaka inakuja kuchukua vijana hapa.

Akifanya vizuri atajenga base kubwa sana ya jamaa kutamani kurudi kusaka vipaji
 
Mtangazaji anasema anashangaa kama bado atakuwa Genk mwakani kwa maana atanunuliwa na timu kubwa
 
Leo kocha kamuanzisha nadhani ameridhika na kiwango/uzoefu aliokwisha pata,ukizingatia wamemchukua january.
 
Back
Top Bottom