pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 518
- 815
wanaume tuliobaki ni sisi na madereva wa boda bodaWanaume wenyewe ndio nyie mnaotaka kuolewa au kuna toleo jipya linakuja?
Basi kama ndio hivyo kweli tumepatikanaπππππwanaume tuliobaki ni sisi na madereva wa boda boda
relax
ππππππMbaya zaidi wanaume wanazidi kupungua
Ikibidi kuwa mke mwenza fresh tu...dudu hainaga makombo
kwa hiyo ?Basi kama ndio hivyo kweli tumepatikanaπππππ
ππππkwa hiyo ?
Unatishia nyau?Habari wakuu?naenda moja kwa moja kwenye mada.
Miaka 15 ijayo kuwa mke mwenza itakuwa kawaida sana,kwani wanawake wanazaliwa kwa wingi sana.
Kwa kila familia sasa utakuta wanawake idadi yao ni kubwa kulinganisha na wanaume wanaozaliwa.
Hivyo kuoa wanawake zaidi ya wawili itakuwa kawaida sana na istoshe wanawake wenyewe wataweza kuoa wanaume.
Hivyo idadi kubwa ya wanawake imeongezeka sana kwa sasa kutokana na takimwi za duniani.
Wanawake wote jiandaeni kisaikolojia kwa hili.
Isije kuwa wazungu walitufanyia hujuma na hizo chanjo zao ili waje kututawala tenaHabari wakuu?naenda moja kwa moja kwenye mada.
Miaka 15 ijayo kuwa mke mwenza itakuwa kawaida sana,kwani wanawake wanazaliwa kwa wingi sana.
Kwa kila familia sasa utakuta wanawake idadi yao ni kubwa kulinganisha na wanaume wanaozaliwa.
Hivyo kuoa wanawake zaidi ya wawili itakuwa kawaida sana na istoshe wanawake wenyewe wataweza kuoa wanaume.
Hivyo idadi kubwa ya wanawake imeongezeka sana kwa sasa kutokana na takimwi za duniani.
Wanawake wote jiandaeni kisaikolojia kwa hili.
Post ya kule umetoka kukataa uke wenza wwMbaya zaidi wanaume wanazidi kupungua
Ikibidi kuwa mke mwenza fresh tu...dudu hainaga makombo
yeah mvua ndio sababuππππ
Umenimiss eeh?
ππππππ
Si umesema hautaki uke wenza wewe?
Tunakoelekea tutajikuta humu duniani tumebaki wanawake tupuuuu.