Jiamini make up ya nini? jiachie na mwonekano wako ukiwa natural

Abubakar Abdallah

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
281
170
Oga vizuri paka mafuta yako au lotion,na ujiache na mwonekano wako ukiwa natural,sio unajipiga varnish sijui polish,alafu unatembea ghafla mawingu yanatanda na kaumatone kwa mbaaali,
unashangaa jitu linatoka speed kama linasukumwa na upepo,kumbe anatetea rangi yake ya mbao kumbe wadada wanajua raidha ila tu ni kwa msimu wa mvua.
 
Ukiona mtu kapaka Makeup jua yupo down hivyo anataka awe juu.

Make up ni kwaajili ya kuweka uzuri bandia ili ajifananishe na msichana mzuri. Asilia kubwa wanaofanya hivyo ni wanawake waliokata taa. Eidha anadanga au umri umeenda na uso hautazamiki tena. Kakata senta bolt.

Nawachukia sana. Ukiona mtu anamakeup hakufai labda kuosha rungu tu kisha unasepa.
 
hahaha
 
afu inakomaza sura hawajui tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…