ROOM 47 JF-Expert Member Joined May 23, 2022 Posts 2,300 Reaction score 7,507 Oct 12, 2023 #1 Jiamini tu ipo siku utafanikiwa, muamini sana Mungu atafungua milango yako ya mafanikio maisha hayana formula maalumu japo ya concept za umbananaji ndani yake. Kuanza upya sio dhambi, dhambi ni kukata tamaa. #Mgaza
Jiamini tu ipo siku utafanikiwa, muamini sana Mungu atafungua milango yako ya mafanikio maisha hayana formula maalumu japo ya concept za umbananaji ndani yake. Kuanza upya sio dhambi, dhambi ni kukata tamaa. #Mgaza
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,953 Reaction score 56,079 Oct 12, 2023 #2 Sawa mkuu
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 8,273 Reaction score 25,297 Oct 12, 2023 #3 Nope moyo... Utayashinda... Huu wimbo