mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,626
Ndio maana nimeweka namba ya simu. Bei inategemea na bargain power yako. Ukiweza kunisaundisha nikuuzie rahisi basi bahati yako, ila we nipigie simu tuzungumze
Hi Shark naona weye ni Tunzo pia.
Hilo ndilo jina lako la biashara humu?