Jiajiri kwa kuuza icecream za koni mashuleni

Jiajiri kwa kuuza icecream za koni mashuleni

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,998
Reaction score
2,242
images (2).jpeg

Habari

Leo wadau nawaletea biashara ya kuifanya mwenyewe au kumweka mtu ambayo inayolipa na yenye risk ndogo sana.

Tafuta shule ya msingi (recommended)au ya sekondary omba nafasi ndani ya shule ya kufanya biashara na weka mashine yako ya icecream na uanze kupiga pesa.

Wanafunzi wanapenda icecream na kwasababu upo shuleni una uhakika wa kuuza zaidi ya icecream 200 kwa siku.

Mimi nawaletea icecream maker machine ambayo inauzwa kwa bei rahisi zaidi itayokukomboa na umaskini.

1.8KW
6 litres each tank(ina matanki mawili)
23 litres per hour
1.5HP compressor

Machine hii ni rahisi kutumia pia kutengeneza mchanganyiko wake ni rahisi,Nitakufundisha buree

Wahi leo ujipatie machine yako na offa ya maelezo na ushauri jinsi ya kufanya biashara yako,ni rahisi,risk ndogo na yenye faida.

Bei ya machine:2,500,000Tsh tu
Mawasiliano:0788622610
Tupo kariakoo

IMG-20180128-WA0003.jpg
IMG-20180128-WA0002.jpg
IMG-20180128-WA0001.jpg
 
Hii biashara ya icecream ni nzuri sana na inafaida kubwa sana kupita maelezo.
 
@Samaritan,
Haitumii sola mkuu,yeah ni offa tunakupa ya mafunzo maana hata mimi nauza machine na icecream pia
 
Hii biashara ya icecream ni nzuri sana na inafaida kubwa sana kupita maelezo.
Yeah biashara inalipa sana mkuu,mi nauza 200 tu kwa koni na 500 kwenye kikopo.wala haina hasara maana ile mixture ikibakia naenda kuiweka kwenye friji na hata icecream ikibakia naitoa naiwacha iyeyuke alafu kesho nairudishia tena
 
Inatumia umeme wa Solar? Nawaza nikiamua juipeleka ndani ndani huko vijijini ambako umeme haujafika. Hiyo 2.5M inajumuisha mafunzo ya namna ya kuitumia na kutengeneza Ice cream?

Shukran
Sio lazima mashuleni pia maana hata watu wazima wanakula sana tu,sema ukitaka itoke quality kama ya bakhresa kuna ingredient moja tu unaongeza inakua kama ile ya bakhresa..kuna jamaa ilala kafungua parlour na anapiga pesa na hawauzii wanafunzi
 
Mkuu unatoa mpaka ingredient na mafunzo bure mtandaoni wakati hiyo elimu watu wanalipia..safi sana kwa kuwakomboa watanzania
 
Mkuu unatoa mpaka ingredient na mafunzo bure mtandaoni wakati hiyo elimu watu wanalipia..safi sana kwa kuwakomboa watanzania
 
Back
Top Bottom