Jiajiri kupitia M-pesa

Jiajiri kupitia M-pesa

Tirus

Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
50
Reaction score
13
Fursa njema kwa kila Mtanzania

Huu ni ukumbusho, ndugu wakala,mfanyabiashara, mkuufunzi,walimu na wafanayakazi wa ngazi mbalimbali,

Tunapenda kukufahamisha ya kuwa tunatoa Tili ya vodacom M-pesa, kama utahitaji, tutaomba ututumie photocopy ya Tin-TRA, leseni pamoja na kitambulisho chako.

Hakikisha Majina yote yanafanana kwenye leseni, TIN-TRA pamoja na Kitambulisho chako.

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi-0768-684790 , 0787-899196 , 0756-027849 au ututumie e-mail kupitia cyrusomolo@gmail.com AU mnyambuenterprises@yahoo.com

Tunakutakia Mafanikio mema.
Cyrus Okolah Omolo
MNYAMBU ENTERPRISES-WAKALA MKUU WA VODACOM TANZANIA
S.L.P 281 MWANZA
S.L.P 156 BARIADI-SIMIYU
 
Kam huna kitambulish inakuwaje,tambua kua vitambulisho vya taifa havijatok,vp lesen yenyew haifai mkuu
 
Je kama niko Arusha nnaweza kupata hiyo namba ya MPESA kutoka kwako?
 
Km nashangaa jinsi mnavyo tuhamasisha,tukileta hizo document mnatuambia eti zikitoka mtatupigia cm,halafu tunaishia kuona Lain za m pesa
zikiuzwa huku mitaani tena za majina ya watu,tunaomba msitumie leseni na tin namba za watu kujinufaisha mm toka nipeleke hi yo vitambulisho Nina miezi 5 hakuna lolote
 
Back
Top Bottom