Changamoto ya usajili kwa mawakala wa M-Pesa, Tigo nk

SACO

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
2,318
2,911
Nimekuwa wakala wa M-Pesa, Tigopesa nk kwa zaidi ya miaka 5. Tatizo ni kuwa till yangu ya M-Pesa inatumia jina la mtu mwingine na hii umekuwa ikiniingizia zaidi ya laki nne kila mwezi.

Tatizo ni hili zoezi la usajili wa alama za vidole. Namba za NIDA ninazo tatizo ni kupata leseni nimeenda TRA wameniambia hadi mwakani ili wanikadirie vizuri.

Upande wa Vodacom wao wanasema kitambulisho cha ujasiriamali hawakitambui.

Naomba Mawazo yenu kama kuna njia nyingine, tusaidiane.
 
Hii ni changamoto ya wengi kuna meneja wa voda niliongea nae akasema wanaendelea kufanya mazungumzo na TCRA Ili waweze kubadilisha majina kama ilivyo kwa line za kawaida
 
Back
Top Bottom