Vipi kuhusu Ritz ??
ritz simpendi yeye na michango yake
Kwa mwaka huu kama upo usisahau Lukasi Mwashambwa!Mkuu utafiti nilioufanya ulimuweka pia Ritz kwenye nominees, ila ukimlinganisha na mshindi yeye amekuwa akisimama zaidi kwenye misingi fulani anayoimini hivyo kujiweka salama kwenye kuyumbishwa. Halafu ni nadra sana kumkuta akihamaki na kutoa lugha za kukera hata pale alipojibiwa hivyo kitu kinachoonesha kutokuwa na stress.
Hahahah๐๐๐,.Na wale wanaotaka kujiua majina yao nimesahau