zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Me niko na vazi la kuzaliwa,
nimetokelezeaje!
Madame B cjakupata Vazi la kuzaliwa....
maana yake yuko uchi...hujamuelewa tuu :biggrin1:
Utapgwa bn
Hapo Ban atapewa nani sasa,
Mimi nilieongea au huyo alietafsiri?
Mtafasiri asie na tafsida...
Me niko na vazi la kuzaliwa,
nimetokelezeaje!
mi niko na chupi na bra
mimi nina jeans na kaptula mbili ndani
mi niko na chupi na bra
Nna suti maalumu kwa kula Kipara!