Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Tupooo.
Aahh husniyo kumbe na weye mtu wa zenj kisiwa cha marash ya karafuu,kumbe namie ntakuja kukutembeleeni,je nikija sikuyoyote nitakupata wapi husniyo na wenzio wana jf?
miguno hiyo.
bungeni tena basi?
kwa mpemba wanapouza urojo wa muhogo wapi?hapana jina,taja eneo linaitwaje ili hata kama mm mgeni naulizia,mfano malindi,mlandege,vuga,or forozan?pale kwa mpemba wanapouza urojo wa muhogo. Ni maarufu sana. Wala hupotei.
Karibu Gymkhana na CCM Maisara.......then BOT club kupata Konyagi
Kesho 19jan na 20Jan ntakuwa Zenji.please pm me,naja na boat ya saa 6 mchana
Karibu sana Kisiwani...
Kesho 19jan na 20Jan ntakuwa Zenji.please pm me,naja na boat ya saa 6 mchana
Wewe nawe:lying:...Juzi ulikuwa Dodoma, Jana ulikuwa Dar, Sasa Zenji....Tupooo.
Wewe nawe:lying:...Juzi ulikuwa Dodoma, Jana ulikuwa Dar, Sasa Zenji....