JF x-mass & New year party

JF x-mass & New year party

mpyepye

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
251
Reaction score
51
Wana jf wote mnakaribishwa ktka part tajwa hapo juu na itafanyika kwenye fukwe moja matata kigamboni watu watalewa kwa uzito wa pochi zao.. usafiri wa kukufikisha eneo la tukio upo haijalishi unatoka wapi ila iwe ni Dsm ..kwa wale wazee wa kula kula imekula kwenu hapa ni kinywaji tu kula nyumbani kwako..ulinzi ni wakutosha ..ila ukija na demu mzuri unatafuta lawama njoo na wakawaida tu..mwisho wa part kila mshiriki atapewa zawadi ambayo hataisahau maisha yake yote..anayehitaji kuhudhuria ani PM nimpe maelekezo.
 
Asante mkuu kwa taarifa ngoja nile pilau kwanza....mtani wangu Matege naona kampani yako kuelekea eneo la tukio.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
2015.jpg
 
Ni shigida!!! ntakuja kusambaza upendo
 
Asante mkuu kwa taarifa ngoja nile pilau kwanza....mtani wangu Matege naona kampani yako kuelekea eneo la tukio.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

mkuu tugonge pilau kwanza ndo twende.. ila lazima utalaumiwa na hili tezi jike langu. mshana jr uko wapi wende ku party mtani???
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom