JF wakongwe: weekend ya 1 Julai (UZURI)

Ama kweli uzee unaninyemelea kwa kasi.... Yaani nimetoka kapa hapa sijaelewa chochote kinacho jadiliwa na hawa vijana wa Mujini!
Vijana wa mujini hao baba! Au tukupe ilmu ya kuelewa lugha baba? ila Fidel80 ipo siku nitamkamata na castle yake ngoja!
 
Vijana wa mujini hao baba! Au tukupe ilmu ya kuelewa lugha baba? ila Fidel80 ipo siku nitamkamata na castle yake ngoja!

Hahahaha castle bana wanakunywa dada zetu mi nikipiga masala gosa kisha nifyonze machozi hap Mlima unashuka taratiiibu
 
Back
Top Bottom