miss wa kinyaru
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 542
- 356
Guys niko Arusha tangu jana, nitaondoka kesho saa 5 asubuhi kurudi Mwanza. Kama vipi tuonane niko Mount Meru Hotel.
kama uko Arusha na unaweza kuonana na mimi tuwasiliane
Guys niko Arusha tangu jana, nitaondoka kesho saa 5 asubuhi kurudi Mwanza. Kama vipi tuonane niko Mount Meru Hotel.
kama uko Arusha na unaweza kuonana na mimi tuwasiliane
Uzi wenyewe nimeuona leo, sasa hivi nadhani hata mgeni keshaondoka.
Usijali next time nitawajulisheni mapema, mara nyingi weekend ya mwisho wa kila mwezi huwa napenda kuja Arusha kupnguza stress za mwezi mzima. ila october naona kama ratiba imebana nadhani nitakuja november.Uzi wenyewe nimeuona leo, sasa hivi nadhani hata mgeni keshaondoka.
mara nyingi weekend ya mwisho wa kila mwezi huwa napenda kuja Arusha kupnguza stress za mwezi mzima.
guys niko arusha tangu jana, nitaondoka kesho saa 5 asubuhi kurudi mwanza. Kama vipi tuonane niko mount meru hotel.
Kama uko arusha na unaweza kuonana na mimi tuwasiliane
nadhani mwisho wa mwezi huu nitakuja darkaribu na dar pia
shemeji yako ananipa stress sana, kwa hiyo kila mwisho wa mwezi naenda kuzipunguzakwingine koooote sijaona ila nimeona hapa tu!!
nadhani mwisho wa mwezi huu nitakuja dar
hao JF members wa Dar wanaogopana kama kunguru, sijui kama utapata ushirikiano
nadhani mwisho wa mwezi huu nitakuja dar
shemeji yako ananipa stress sana, kwa hiyo kila mwisho wa mwezi naenda kuzipunguza
shemeji yako ananipa stress sana, kwa hiyo kila mwisho wa mwezi naenda kuzipunguza
shemeji yako ananipa stress sana, kwa hiyo kila mwisho wa mwezi naenda kuzipunguza