Update.
Kwa wale wapenzi wote wa JF Voucher game tusamehane sana kwa mushkeli iliyotokea hivi karibuni .
The game is back kama kawaida stay tuned game litachezeshwa saa mbili kamili ya usiku (20:00) na game.
Tag na mwenzio mwambie Zero Iq is back for the game.