kwel hlo linaumuhmu ila vp cc 2co kuwa na valentine wowote na wewe uliokuwa nao zaid ya m1 hauon kama ni UFISAD wa wapenz ila co ishu happy valentine pipooo
:A S thumbs_down: Hiyo haijakaa vizuri! JF ni kubwa sana, sijui itawezekanaje kutukutanisha wote! Mimi nafikiri online meeting 'd be feasible option, maana unapofikiria JF U need to think beyond Dar, Tz, EA or africa!
Mkuu nadhani upo sahihi, we have to think beyond dsm, kuna tym nilikutana na jf members watatu nje ya bongo it was very nice. labda inaweza fanywa kitu kama kila mkoa / nchi wakakutana sehemu fulani kwa siku ambayo inakuwa ni spesho kwa wana jf.. it will be wonderful :A S thumbs_down: