Dah... Ninong'oneze basi nikufehemu sheeShem shem
Unadhani kuonana ni tatizo basi? Tatizo una issue gani ya msingi?Naomba tuonane weekend ijayo kama hutojali.
Na kununaHahahha ya kuchekewa kinafiki?
![]()
Hehehehe demiss njoo hapaDah... Ninong'oneze basi nikufehemu shee
Mimi na wewe Teena pamoja na kunifanyia ziara za usiku ndotoni sijawahi kukununia.Na kununa
kwaiyo unamnunia strangerHapana.

Hahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
kuna jitu lako ulilichamba,na mimi nililichana live hadi Leo linaninunia.
HahahaaaMimi na wewe Teena pamoja na kunifanyia ziara za usiku ndotoni sijawahi kukununia.
. Ni kwa vile ndoto zimekuwa tamSasa kama inaboa???? Uichekee tuu? Labda kinafkikwaiyo unamnunia stranger![]()
Hahahahhaha ukishaona jitu linachambwa na mtu zaidi ya mmoja ujue lina shida![]()
![]()
![]()
![]()
kuna jitu lako ulilichamba,na mimi nililichana live hadi Leo linaninunia.

.Kujuana kwa ukaribu zaidiUnadhani kuonana ni tatizo basi? Tatizo una issue gani ya msingi?
Sijawahi kuvutiwa na hilo.Kujuana kwa ukaribu zaidi
Hahhaha ,kumbe wakati mwingine ni bora kutojuana na watu nje ya hizi Id..asante cuteHahahaha.
Mimi siwezi kubadili I'd hata iweje.
Ila kuna mijitu mipumbavu najuta hata kuijua.
Hata hivyo wengine tumenuniana na wengine tunachekeana kinafki.
Unafki unafkini.
Kipi kinakuvutia ?Sijawahi kuvutiwa na hilo.