ha ha ha!!!
uran umenifurahisha sana kweli huu udaku special, nampa pole
miss neddy kumbe hakujua mmewe
Excel ni
TEAMbazaz? ndo mana me nilishindwana naye kwa sababu hiyo ila usijali mamy utazoea tu....we mine
Daudi1 na
Kibo10 ndo nini kufichua siri ya mwenzenu mtaja sababisha watu wafe bure, kwanza mmejuaje au nyie ndo wale wale?????