JF top gear


100% gd
 
Habari zenu wakuu,kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari kuhusu hii gari aina ya TOYOTA RUSH.Kwa muonekano wa haraka haraka imenivutia na ninatamani sana kuinunua.But nikicheki from mitandao mbali mbali inaonekana ina mapungufu yafuatayo; Kwanza haina horse power kubwa,ni kama 109hp. Pili inaonekana ina space ndogo sana ya kuweka mzigo nyuma i.e less pickups na tatu inaonekana automatic gear shifting yake haiko smooth. Kwa wale mliopata kuimiliki au mnaijua hii gari naombeni mtazamo wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…