We dogo kwani wote unaowafahamu unajua hali zao?hofu kwenu nisiyewafaham...
Hahahahahaaaaa aruuuuuuu...hujakata tamaa tu kwa Vivy?@mwaka natamani kweli hii kitu...@husny watoe nyingi sasa...@ericky wote nnaowafaham wako ng'ada...hiyo hapo ni complmentr ya Vivy...@SI Unit ningefurahi likitiliwa mkazo aisee...
Wazo zuri sana shem wangu,Mimi sijambo...hofu kwenu nisiyewafaham...
nimepata wazo,baada ya kuona mitandao mingine wana tshirt zenye majina ya mtandao husika...kwa mfano facebook...
nikawaza je si vema na sisi tukawa na tshirt zenye chata la huu mtandao wa kijamii...nambari one tanzania...?
Omg...I LOVE JF
Wazo zuri sana shem wangu,
Zile za mwanzo hata mie niligaiwagwa siku hizo hata cjui jf basi nikaitunza tu
Tangu nimeijua JF naivaaje yan wiki end lzm nilipuke nayo nikiwa kwenye mishe mishe zangu za kukusanya mazaga zaga kkoo!
Nikiona mtu kanikazia jicho najua tu huyo ni memba nampachika ID za watu wa humu!
Waungwana Wa Arusha jamani nijulisheni Tu design mnatotaka Mimi nitatengeneza idadi inayotaliwa bila down payment yeyote.
Wazo zuri ila nina angalizo. Mtandao huu unawanyima usingizi wanamagamba na hawaupendi kabisa kwa jinsi tunavyoponda sera zao na kulaani ubabe wao. Halafu tena eti unavaa t-shirt ya JF na kutembea kifua mbele! Askari wa magamba watakuacha utembee kwa raha zako kweli? Hawatasita kukusimamisha na kuuliza yale maswali yao ya ajabuajabu wakianza na:'Wewe ndo chamii folam?'
Hahaha hahaha hahaha ndio ivo,we mwanamke huwezi ukanichekesha kiasi icho aiseee...iyo mistari ya mwisho nimeifurahia kwa kwel...mm nina ham nazo kinoma...ntaivaaje mpaka kanisani!...