JF shukrani zenu, nahitaji kura zaidi

JF shukrani zenu, nahitaji kura zaidi

Wala sio best kwa nchi yetu, mi ningekuona mjanja kama ungeunda wazo ambalo lingepelekea uwekezaji wa kati kama sio uwekezaji mkubwa.

Mfano, ziwa tanganyika, linaaminika kuwa na samaki wakubwa aina ya sangara lkn wako mchangani ambako ni mbali.

Idea ya kuwavuna samaki hao tunaihitaji.

2. Bahari yetu, magufuri aliwahi kukamata meli ikiwa na tani kadhaa za samaki. Kwa nn usitafte wazo la kuwavuna, kuwasindika na kuwataftia masoko?

Wazo la uzalishaji zaidi ni zuri, maana itasaidia kuongeza ajira
Issue ni specialization; Mimi ni mtaalamu wa masuala ya kijamii sitaweza kuwa mbunifu kwenye mambo ya maji wakati wataalamu zaidi wapo. Ahsante kwa wazo lako
 
Awali napenda kuwasalimu; nikiwa kama kijana na member wa Jamii Forum napenda kuchukua Nafasi hii kuomba Kura zenu katika shindano la Youth Citizen Entrepreneurship. Shindano hili lengo lake ni Kuwezesha Vijana ili wawe chachu katika kutelekeza malengo mapya 17 ya Maendeleo endelevu. Nikiwa kijana wa kitanzania nilituma proposal Yangu na hivyo kuonekana ina Tija katika maendeleo na hivyo kupewa nafasi ya kushindanishwa na Vijana wengine duniani. Hivyo hapa nawakilisha Vijana wa Kitanzania; wazo hili likifaulu basis mradi utakaofanyika utanufaisha Vijana wote wa Kitanzania. Naombeni kura zenu.

Pitia wazo langu unipatie Kura:

Hello friends; I Nyamoni Warioba from Tanzania, I have been nominated for the YOUTH CITIZEN ENTREPRENEURSHIP Competition in the Best Idea 2016 Category. I would be happy if you support my idea with Comments and Votes. You can support my Ideas by:

a) Voting for it

b) Commenting and Giving positive feedback that can help to improve my project. Go to this link. www.entrepreneurship-campus.org/ideas/4/ click Best ideas 2016 then click VOTE FOR BEST IDEAS, all Nominees names will appear and then Select idea titled "EMPOWERING GIRLS THROUGH FORMING A FOOTBALL TEAM" you will see the name NYAMONI WARIOBA with a Ball photograph attached, Just click VOTE at the Orange bar.

" Please I need your Votes for winning this competition" Your votes and comments will be valued; VOTING deadline will be 31/08/2016. Please share with friends groups.
sikupigii kura kwa sabbat unalitaja jina la mungu bure kinyume na matakwa ya biblia
 
Mungu Mweusi, nimekuvotia lakini kwa shingo upande! Ulijua kabisa proposal yako ni ya kimataifa lakini hukujishughulisha kumwomba mtaalamu wa lugha kukunyooshea lugha. Watoto wa kike kiingereza chake siyo girls children!
Nina uhakika waliopokea hiyo proposal yako wanashangaa!
 
Wala sio best kwa nchi yetu, mi ningekuona mjanja kama ungeunda wazo ambalo lingepelekea uwekezaji wa kati kama sio uwekezaji mkubwa.

Mfano, ziwa tanganyika, linaaminika kuwa na samaki wakubwa aina ya sangara lkn wako mchangani ambako ni mbali.

Idea ya kuwavuna samaki hao tunaihitaji.

2. Bahari yetu, magufuri aliwahi kukamata meli ikiwa na tani kadhaa za samaki. Kwa nn usitafte wazo la kuwavuna, kuwasindika na kuwataftia masoko?

Wazo la uzalishaji zaidi ni zuri, maana itasaidia kuongeza ajira
Hilo ni wazo lako na wewe unaweza lifanyia Kazi. Yeye wazo lake ni hili. Wabongo mnakuwa wepesi kutoa ushauri wakati yenu yamewashinda, mpigie kura au usipige BASI.

Sio kila mtu yupo interested na samaki.
 
Mm nimepiga kimya kimya bila kutangaza kwa watu.lkn mada sio njema kwani.unalengo la kuwaeka chiu watoto zetu
 
Mkuu nishavote..............usisahau kuleta mrejesho wa matokeo kama ulivyoomba kuvotiwa
 
Hilo ni wazo lako na wewe unaweza lifanyia Kazi. Yeye wazo lake ni hili. Wabongo mnakuwa wepesi kutoa ushauri wakati yenu yamewashinda, mpigie kura au usipige BASI.

Sio kila mtu yupo interested na samaki.
Basi ngoja nipige
 
Nawashukuru sana kwa mlionipigia

Naitwa Nyamoni Warioba, kijana wa Kitanzania mwenye uchu wa kufanya mabadiliko katika Usawa wa Kijinsia. Karibu
Umefanya jambo jema, ona sasa umeipata kura yangu na ndugu zangu wanne.
Kwa kuwa nimekupigia kura bure matokeo pia uyatoe bure.

Ila ukishinda sio uanze kuhamia kwa kina wema sepetrue hah ha ha haaa.
 
Habari wana JF: naomba kuwakumbusha Ndugu Yenu Nyamoni Warioba; nimeshiriki Youth Citizen Entrepreneurship competition kwa ajili ya utekelezaji wa Malengo endelevu Mapya 17 ya Dunia. Shindano hili ni la kimataifa na ili nishinde inahitajika kupigiwa KURA. Naomba KURA yako Leo, Link. Empowering Girls through Forming A Football Team.
 
Du ID yako unaweza kujipa kura mwenyewe ukashinda
 
Back
Top Bottom