our lovely rejao pamoja na magamba yako unapendwa sana hapa jf kila mtu rejao rejao watu hawalali humu kwa ajili yakosisi na magwanda wote kitu kimoja...tukikutana tunakuwa kitu kimoja...tukiachana kila mtu anabaki na itikadi zake!!
Huku tunaogopana. . . huko hatutaogopana.Kama hapa duniani inakuwa mbinde, mbinguni si ndio kabisaa
Siku 13 zakuwemo humu umejiona unamawazo kuliko ulio wakuta??
mpaka uwakusanye watu kisiri????kama ni siri ungeleta mada kisiri sasa unaianika hapa kweupe utaishia kusema ila kama nia yako nikujuana na member wa JF mtafute mwenyekiti wa JF Farm,JF saccos huko utakutana na wwanachama wa society hizo na uwe nakiingilio chakujiunga kila laheri!!
Kaka umekosa la kunena? Nilikuwepo toka kitambo, but I registered a couple of weeks ago.Siku 13 zakuwemo humu umejiona unamawazo kuliko ulio wakuta??
mpaka uwakusanye watu kisiri????kama ni siri ungeleta mada kisiri sasa unaianika hapa kweupe utaishia kusema ila kama nia yako nikujuana na member wa JF mtafute mwenyekiti wa JF Farm,JF saccos huko utakutana na wwanachama wa society hizo na uwe nakiingilio chakujiunga kila laheri!!
Ingependeza kuona tunaanzisha ka society ka Siri, tukutane mayb once or twice a year without revealing our IDs. Is it possible? If Yes, hw can we do it? It has to be Strictly JF members only.
Ucwe unakurupuka kuongea kabla yakufuatilia, mwanzo nilisema hili linawezekana kwa msaada administrators tu, they can pm details of the event nakuifanya kuwa Siri. Tunajua kuwa JF is operating beyond tz borders ndio maana ckusema tukutane Tz, hata hivyo clazima wote tukutane na hata ikibidi wanajamii wote tukutane tunajua fika haitawezekana kutokana na majukumu yetu ya kila cku.Ingependeza kuona tunaanzisha ka society ka Siri, tukutane mayb once or twice a year without revealing our IDs. Is it possible? If Yes, hw can we do it? It has to be Strictly JF members only.
Sijawahi kuona wazo baya kama hili hapa JF! Kwamba eti tukutane "kwa siri," bila kuwa na ajenda yoyote ya kuongelea! Hivi unajua kuwa wanaJF wamesambaa dunia nzima, yaani, Marekani, Uingereza, Australia, RSA, nk? Wewe unataka uwakusanye "kwa siri" ili uwafanyie nini? Utawakusanyia nchi gani? Na huo "usiri" utatekelezwaje endapo tayari unachoki-post hapa ni public? Yaani mawazo yako yamekaa kimagamba magamba kweli!
Ulikuwa hautambuliki!!!!Leo umetambulika kwa upupu!!Kaka umekosa la kunena? Nilikuwepo toka kitambo,but I registered a couple of weeks ago.
kushindana magari, viatu, nguo tulizovaa, simu zetu na mambo mengine ya kijinga tu, nothing more.
Mara nyingi watu wanapenda sana kujionyesha, hasa wale wanaojiona bab kubwa eti walisomaga marekani. Pumbavu sana
"Only a fool tests the depth of the water with both feet."Ulikuwa hautambuliki!!!!Leo umetambulika kwa upupu!!
Mi staki . Naogopa
Ucwe unakurupuka kuongea kabla yakufuatilia, mwanzo nilisema hili linawezekana kwa msaada administrators tu, they can pm details of the event nakuifanya kuwa Siri. Tunajua kuwa JF is operating beyond tz borders ndio maana ckusema tukutane Tz, hata hivyo clazima wote tukutane na hata ikibidi wanajamii wote tukutane tunajua fika haitawezekana kutokana na majukumu yetu ya kila cku.