JF Relationships: Watu wanawezaje kumpenda mtu ambaye hujamuona?

Unakuta hamjawai ata kuchati Pm, ila basi tu unahisi kuna kitu kati yenu

Kaka unahisi vipi kitu kati yako na aliye dhidi yako? Yaani unajuaje hilo?

Kwangu mimi kauli hiyo huwa ni kauli ya ushawishi isiyo kuwa thabiti.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…