Wakuu sijui kama mlishazungumzia hili, hivi JF premium member haina kikomo? Je hamuoni ni bora kuhamasisha kwa kuweka time limits?
mimi najitolea kwa member watano watakaotoa mchango JF [wanaoishi Dar wiki hii] nitamatch 50% ya kila mchango
Long live JF