JF piga kura android vs ios apple

ww jamaa umeshikilia fans wa tecno....kwani kila anaye tumia android anatumia tecno...hebu acha uchizi ww piga kura then 2lia
 
mi napenda Android upande wa simu, na hapa naongelea stock android, hizo android nyingine zooote ambazo ni modified sizipendi.. ila upande wa tablet siwezi kutumia zaidi ya iOS, tablet ni ipad peke yake duniani nyingine zote utani tu...
 
hii poll yako nadhani ni ya kuangalia users wapi wanatumia android na wapi wanatumia iOS... ila si ya kusema which is better than the other, ingekua ni hivo ilitakiwa kila upande ueleze why do they think its better than the other..
 
tofauti ya ipad na tablet, ios na android respectively ni ip mkuu? MBONA KAMA UMECHANGANYA IV KWENYE MAELEZO YAKO....
 
tablet ambayo
1.printer karibia zote haisuport
2.haisuport usb devices
3. hairun content creation apps kibao

kusema ipad ni best tablet nyengine ni utani wakati kuna tablet zinafanya mambo kibao ambayo ios haiwez yafanya wewe ndio unatania.

siku wakiweka os ya mac kwenye ipad then tutaanza kuifkiria kama best tablet
 
tofauti ya ipad na tablet, ios na android respectively ni ip mkuu? MBONA KAMA UMECHANGANYA IV KWENYE MAELEZO YAKO....

Sijachanganya labda usome vzr uelewe, iPad ni tablet, inarun iOS ndo maelezo yangu yanavosema..
na sijakusoma hapo kwenye red? labda unauliza tofauti ya iOS na Android???
 
Mkuu naona ni fan mzuri wa Android tablets... Kwa mtu ambaye yuko serious, unahitaji printer kwenye iPad ya nini??? its a tablet, not ment to replace a laptop or a desktop, n why would i need usb devices kama input huku kuna space ya kutosha, 16GB isnt enough, get 32GB,64GB or 128GB final, zaidi itabaki kunenepesha tu ipad kuweka USB port.. na unavoongea content creation! mtu serious na content creation hawezi fanya kwenye tablet atatoa content mbaya unless unaongelea vitu simple simple kama kutengeneza simple video clips za kushare na friends ambavyo vinafanywa vzr tu na ipad..

iPad wana apps kibao ambazo zina run kwa native resolution unlike android tablets zipo nyingi mno na zinatofautiana size, apps nyingi unakuta zinarun kwa zooming, unabaki kuona poor graphics...
 
Sijachanganya labda usome vzr uelewe, iPad ni tablet, inarun iOS ndo maelezo yangu yanavosema..
na sijakusoma hapo kwenye red? labda unauliza tofauti ya iOS na Android???

Ah kumbe! mi najuaga cku zote jina la tablet lilikuja Kama common name la device zote zinazotumia google's androids from different manufacture like sumsung, bb etc, that is why kwa kujua ipad ni single product ya apple ambayo ina runs on ios, weaknes mwanzoni mi binafsi nlikua mtumiaji wa apple(ipad) nilishift mwaka 2011 kuja kwa tablet kwa sababu kwenye ipad nlikua nakosa online video cause nying zlikua hazna flash, pili tablet nlifurahia multtasking ambayo kwa ipad haikuwepo, .....Na kikubwa baas ambacho namis kwa ipad ni apk, ipad inakua leading kwa vile ina application kibao tofaut na iz google's android tablet.......voting yangu ni kwa androids device ili mrad uchusu the best manufuctur....like sumsung
 
nop windows tablet zinazorun full windows 8.1, pia unaweza eka distro za linux. hizi kwangu ndio tablet bora zaidi unless unataka kubrowse internet na kucheza candycrush ndo uende ios/android

store ya apps za touch sasa hv ina apps 187,000 na ukipata hybrid kama asus t100 unasahu laptop unabaki tu na desktop/htpc ya chumbani
 
Iphone mara milioni sita

You've to be precise, say ''iOS mara milion sita'' n not ''Iphone mara milioni sita'' the battle is between ios and android
Though there will be no Winner exist here because it's just like computer's OS best os depend on you day to day computational task !

Would someone say Android is the best if he/she is just using it for making calls and whatsapp chatting OR
would someone say Ios is the best os if he's just using it for entertainment (playing music) with Dr Dre headphones ?
 
​
 
dell venue 8 pro?

Ndio ni dv 8 pro.

Tablet battle ilikuwa kati ya iOS vs ANDROID vs WINDOWS

The winnner - Windows 8.1 Tablet

Na chief mchango wako hapa jukwaani ndio umechangia kuchagua windows tablet, pamoja na reviews za kwenye internet

Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…