JF piga kura android vs ios apple

JF piga kura android vs ios apple

watu wako busy na escrow....ahirisha uchaguzi
 
apple mkuu..always and will forever outsmart the phone industry
 
Nimeotumia tu Android, ios sijawahi kuitumia hivyo kura yangu imeharibika.
 
Ok guys nmeanzisha hizi kura tujue who iz the king

Mkuu watakaopiga kura za halali ni wachache sana humu kwa sababu watu wengi wanatumia android smartphone kuliko iOS kutokana na vifaa vya Apple kuwa ghari sana, hivyo basi matokeo yatakuwa feki
 
Nimetumia zote mbili. Hakuna kama ios. Its fluidy, simple to use, UI yake poa sana. Never stuck.
 
Wanaosema android noma ujue hawajatumia kabisa iOS huo ndiyo ukwel na wengi ni watumiaji wa tecno ila kwa tuliotumia os zote mbili utajua utofauti uliopo Hakuna os better kama iOS.
 
iOS naikubali!

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
on my side user frnd os ndio better kwangu....so marks zangu naziamishia android
 
Wanaosema android noma ujue hawajatumia kabisa iOS huo ndiyo ukwel na wengi ni watumiaji wa tecno ila kwa tuliotumia os zote mbili utajua utofauti uliopo Hakuna os better kama iOS.
Fans wa tecno wanashida.
 
Back
Top Bottom