JF Party On My Mind

Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.

UPDATE

Tumeshaarrange kila kitu kuhusu party kama date, location, dress code, Mchango na kila kitu.
Madame B atakuja na Uzi kuelezea mchakato mzima.

Mambo ni hiviiiiiii
Ninaahidi Nitashiriki.
 
Aisee lini hiyo mkuu? Hii si ya kukosa!!
 
bro sijajua kiundani hata nimedandia uzi juu kwa juu, nafikiri ungewasiliana na Madame B kwa ufafanuzi zaidi
Transcend
Mchango ni sh 30,000 na unatuma kwa namba hizi:
0716-394882 jina May AU
0756-986874 jina Mwanahawa Hassan
Location ni African Lounge Pub/Bar iko Namanga karibu na Best Bite

Na mwisho wa kutuma mchango ni tarehe 8 Dec 2018.
Joseverest mpe taarifa.
 
Back
Top Bottom