JF Party On My Mind

Karibu saaanaaaaa pande hizi
Ahsante ila sasa hiyo avatar yako inaonesha wewe ni katili sana tehe tehe tehe tehe
1536840586380.png
 
Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Nasubiria tarehe dada Mzigua90

Ikiwa kati ya 20 Dec hadi 10 Jan itapendeza.
 
Lazima nishiriki kwa kiasi fulani kama sitakuja basi nitatuma mtu aje badala yangu, nitamwambia mwenyekiti wa maandalizi nani atakuja badala yangu kama sitakuja.
 
Back
Top Bottom