JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Regency, Madeira, sherry
Hizo mjomba akitoka zake China huja nazo kibao.

Ya kibongo naona Image naikubali sanaaa!!
Fortified wines zote zina mziki kwenye kulewa! Na zote ni strong!

Unakunywa capirinya??
Mimi bia imenishindaa!!

Za TBL zote zimenishinda, Heineken nayo imenishinda.

Nimejaribu Budweiser naona inanishinda.

Spirits nazo zimenishindaaa kabisaaaa.

Cider harufu ya Apple imenishindaa,

Liqueurs naona kama nadanganywa afu not naturals.

Nakunywa wine tu, tena red sweet wine ambayo ni fortified.
Asee hii party naona Mohans ndio watahusika ktk vinywaji ,TBL ,SBL na TDL imekula kwao
 
Of course.... Kuna vilevi viwili tu hapa on earth pombe or sketi! Japo kuna wabishi

Mwanamke ambae anakunywa pombe analewa halafu analiwa huwa namshangaa na kustaajabu sana!

Yaaan I can't get it!
No, simpi pombe ili alewe ndo nimgegede.

Anakuwa willing, sema wengine pombe inampa ujasiri wa kufanya mengii
 
Hapo sawa!....nilifikiri una kula vibudu
No,
Sijawahi kubaka mimi.

Nishalala na dem ambae alilewa chakar lkn sikumgusaa.
Aliniambia toka mwanzo nisimfanye chochotee.

Ila najuta mana kwa sasa ni star, inaniuma sana . Juzi kati namwambia we mtoto najuta kwanini siku ile nilikuacha, anajichekesha tu, ila kanihaidi atanipaa siku mojaa lkn mpk nituliee

Ila ingeniumiza sana km ningemfanya siku ile, ni ubakaji ule.
 
Haaaahaaaaa....we jamaa bana very fun haahaaa!

Asee ungemla kalewa angekulaani wadada hawapendi mambo hayo!
 
Back
Top Bottom