witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
utanipa mrejesho mkuuNtaonja weekend hii!
Mm ugonjwa wangu ni weupe na guu na imani Mungu hajakunyima vyote mkuuHata wa kutishia watoto sina!![]()
![]()
![]()
flaat nchi km zotee!!!
Wapiiii!daah!Mwaka Jana tulikutana baadhi ya member tulikuwa 20+ .
Hakika ilipendeza sana.
Hii pia Mimi nipo tayari

Nilikua wapi miye mambo matamu km haya yakanipita!naunga mkono hojaa!
karibuu😂😂😂😂😂😂 tunaongeza damu na kumsaidia jiwe kukusanya kodi😂😂Walevi on fliik![]()
Wa mkoani kaeni huko hukoNaona mnataka kurudisha enzi za White party pale Kerby hôtel na JF get together pale Escape one, wazo zuri
Sisi wengine tutasubiri report hapa km kawa



!!!Mrejesho muhimuutanipa mrejesho mkuu
Nawaona kodi zenu ndo zinalisha nchi siku mkiacha kilevi nchi haiendeshekii!!tunaongeza damu na kumsaidia jiwe kukusanya kodi
![]()

owky.... ntafurahi sana kama ukiipenda 😂Napenda mint taste/ flavour...surely this weekend ntaionja!
Thanx mkuu
owky.... ntafurahi sana kama ukiipenda 😂Napenda mint taste/ flavour...surely this weekend ntaionja!
Thanx mkuu
😂😂😂😂 sisi ni watu muhimu sana ujueNawaona kodi zenu ndo zinalisha nchi siku mkiacha kilevi nchi haiendeshekii!!![]()
Huko huko mnywe togwa![]()
![]()
Na sisi wa mikoani tuandae yetu
Sivai vimini miyeMm ugonjwa wangu ni weupe na guu na imani Mungu hajakunyima vyote mkuu
weupe miye black pyuaa!!!yaani km lami!!!Nakubaliana na hiloo!!hilo limepitaasisi ni watu muhimu sana ujue

Ooooh.. hii naweza kuorganize bila shida. Ntaongeana boss Max tuone inakuaje.
Ishu ya ukumbi nipeni mimi,Ndio inavyofanyika. Tafuta ukumbi mzuri mfano Escape One,ongea nao ujue gharama za kupata section kwa ajili ya party yako. Organize few drinks etc
Nyie maskini hamtachangia chochote !! Najitolea kugharamia vinywaji na chakula
Huko huko mnywe togwa
Umeona eeeh! Sisi hatuna mbwembwe nyingi kama nyie wa Daslam!