witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Rogie kapania kweli...
Rogie kapania kweli...
Tayari muda mrefu.Subscription kwa sasa
Utakuwepo?Walioandaa zilizopita washabwaga manyanga. Kazi kwenu sasa kizazi kipya jipangeni muandae,hamna ugumu wowote ni muda tu.
Nitakuwepo.Nawe si utakuja lakini?
Braza, ile njia ya vumbi ni kilometa nyingi sana aiseDecember Saadan national park ,si mbali toka Dar napapigia hesabu
Utamu wa wali ukoko bro acha kabisa sina mpango wa kuacha kugombania ukokoHivi ww ile tabia ya kugombania ukoko ushaacha
Huhuuu..pole ntakulipia madeni yako yote we timba tunnavyodaiwa humu naweza nikafika nikasherehekewa kama keki ya besdei

Hahaha wewe hujapania?Rogie kapania kweli...
Asanteee sitokosa
seriously unaweza kulipia yote?Huhuuu..pole ntakulipia madeni yako yote we timba tu![]()
![]()
Heeeseriously unaweza kulipia yote?
ujue madeni siyo pesa pekee!
....vingine beba msalaba wako mama!

SomehowHahaha wewe hujapania?
Nitakuepo kukulindaNisipolewa ntakua kama fala.. ntakunywa kwa adabu
whiteNitaanzaje kukataa ukisema twende kipenzi. Hapa nipo natafuta kitengo cha kuchangisha pesa ya hii partyKipenzi tutaenda?
I am excitedSomehow