Hahahahahaa.. siku hiyo ntakua nakunywa maji na juice nisimisbehave
60% likubwa sana. Hilo labda glass tatu ndo naweza isikia flani hivi
wee kiboko asee!

60% likubwa sana. Hilo labda glass tatu ndo naweza isikia flani hivi
MmmhWewee lionjage hilo dude!.. sparkling wine alc content 60% huko!....kwangu ile kiboko yangu!
Usipokuja na mimi siendi![]()
![]()


huku sasa ni kunikaba....nitakuja nakuhaidiKuanzia mchana mpaka majogoo
Ha ha ha mpe sababu nyingine hiyo ishapita, tutakua pamoja.
Usipokuja na mimi siendi![]()
![]()
Vizuri mchumba ili unilinde
Haahaaa.... Maana zilianza mfyuuu na msxchewwwHa ha ha mpe sababu nyingine hiyo ishapita, tutakua pamoja.

Alete tu mrejesho wa kiwango, tarehe na venue.Hapo chacha....![]()
![]()
![]()
![]()
Subscription kwa sasaAlete tu mrejesho wa kiwango, tarehe na venue.