JF Party Jumamosi 15/12/2018

JF Party Jumamosi 15/12/2018

Hapana. Hahahaaa. Kama mie sio rahisi sababu zile nyuzi zenye chembechembe ya uchokozi kwa wasiojulikana huwa napita nazo kimya kimya yaani sijawahi tia neno.

Mzima lakini?
ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa
Mzima kabisaaa, vip wewe siku yako ilikuwa poaaa?
Ndo najiandaa kurudi kijijini bana karibu, huku nyama ya swala, digidigi ruksaaa kabisaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom