Jamani niwahini nisipotee na kufa kwa presha
Nina mpennzi wangu wote tuko chuo kikuu lakini course tofauti lakini tunalingana Umri. Tumeishi kwa pamoja kwa miaka 4 kwa mapenzi ya dhati zaidi ya hat hiv nnavyosema. Mimi namaliza chuo mwaka huu, lakini yeye anasoma sheria lazma wasome miaka 4 kabla ya school of Law
Wasisi wangu ni umri,, na tumepanga kuoana. Je wazazi watatuelewa kwa kigezo cha umri? Jamani nambieni