mh great thinkers hao eti wanajadili kama watu wanalala....jaman hivi mumesahau jf unaweza kuipata mahali popote duniani??that means wakati wewe umelala..kuna wenzio wapo nchi zingine wao ni asubuhi au mchana na shughuli zinaendelea kama kawaida....kuna members wengi humu wapo nje ya tz kwa taarifa tu kama mtoa mada ulikuwa hujui...yani una mawazo mgando kweli..ni sawa na kuuliza mbona mechi za kombe la dunia wenzetu walikuwa wakizicheza wakati ni muda wa kulala ina mana wao hawalali??....he he division five at work