Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Apr 9, 2014 #1 wanajf ktk version mpya ya jf nashindwa kabisa kureply au kupost new post.nimekuwa wa kusoma tuuuuuu.!!!!nipeni maujanja jamani
wanajf ktk version mpya ya jf nashindwa kabisa kureply au kupost new post.nimekuwa wa kusoma tuuuuuu.!!!!nipeni maujanja jamani
strong ruler JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 4,919 Reaction score 3,313 Apr 9, 2014 #2 Kwenye simu aina gani sasa mkuu!??
mzenjiboy JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 907 Reaction score 387 Apr 9, 2014 #3 Mimi wakati mwengine vile vile hunisumbua lakini dawa yake ni ku-uninstall kisha una-install tena mambo yanakaa sawa.
Mimi wakati mwengine vile vile hunisumbua lakini dawa yake ni ku-uninstall kisha una-install tena mambo yanakaa sawa.
kabiriga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 1,163 Reaction score 1,214 Apr 9, 2014 #4 Una tatitizo Kama langu natumia ipad2
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Apr 9, 2014 Thread starter #5 strong ruler said: Kwenye simu aina gani sasa mkuu!?? Click to expand... natumia galaxy s4 mkuu.
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Apr 9, 2014 Thread starter #6 kabiriga said: Una tatitizo Kama langu natumia ipad2 Click to expand... mkuu sasa wewe unafanyaje.?
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Apr 9, 2014 Thread starter #7 mzenjiboy said: Mimi wakati mwengine vile vile hunisumbua lakini dawa yake ni ku-uninstall kisha una-install tena mambo yanakaa sawa. Click to expand... kweli mkuu ngoja niuninstall then niinstal upya tuone kama itakubali
mzenjiboy said: Mimi wakati mwengine vile vile hunisumbua lakini dawa yake ni ku-uninstall kisha una-install tena mambo yanakaa sawa. Click to expand... kweli mkuu ngoja niuninstall then niinstal upya tuone kama itakubali
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Apr 9, 2014 Thread starter #8 nimeipakua upya imekubali ngoja nile good day na jf.nawashukuru sana