Kwani mababu ndo hawajui kupenda au hawataki kupendwa?? mi hizo ndevu zinaniacha hoi.... π
relax, take a deeeeeep breath, you will be alright, trust me πoa
hahahahahaha Kongosho bana unamfanya Bishanga aone haya sasa..
mmmhhhhhhhh :A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
Doto nilikwambia nini kuhusu kusema kila kitu hadharani?
Really??????????????
kiko upande wa kulia juu ya page yako, kina rangi nyekundu..
kwa ajili ya Valentine ... ila kuna kingine chini upande wa kulia
kina rangi ya blue. hicho ukibonyeza tu MODs wote watafanya harambee hapa πoa
hahahahahahah looohh we sikuwezi...