Umeona domo tu, ule weusi na kitambi je? Matege nayo wamwachia nani?...lol.sweetie ndo umeniua kabisa,domo la mpoki,du!
Hujambo lakini SL?mwenzio nimejipa likizo ya kufikiri.
Kongosho - TMBL
first lady-corazon aquino
kongosho-simenye(mwanariadha wa south africa)
king'asti -mama terry
ashadii-namweka kiporo (ban inanukia)
Ningefanikiwa kukugusa ningefurahi sana....au nikupe mji uninong'oneze?lol...ngoja niwe mpole tu cuz unaweza ukamwaga list hapa mpaka ukashanga unanigusa kweli!!
Nakutafutia aka yako!!
Hehehe! Report abuse PAW a.k.a your lovely husband amlime ban...Weeeh bepari la kihaya unantafuta maneno eeh? Usione mtu ana kikuku na kavaa mpasuo paja nje ushaanza majina ya ajabu ajabu?
Kwani mkuu wewe hulii?:juggle:
Heshima yako Bishanga,Ni jambo la kawaida wanajamii kupeana 'nicknames', mimi nimeshuka na hizi:
Bishanga- tajiri la kihaya
Aspirin- babu revola
Lizzy-condoliza rice
Kongosho-AC/DC
AD-mama maua
Michelle-mrs HC
Faiza foxy-Ana makinda
Kabakabana-zipu mkononi
Cantalisia-binti mtambuzi
Mtambuzi-mzee wa busara
Husninyo-miss mpwapwa
The Boss-mzee wa nyumba ndogo
Fidel-infi wa ukweli
Figanniga - .........
popobawa - ......
...........- binti mcharuko
..........-chakubimbi
dena - chaukali
jazieni hizo dot dot (mi naogopa ban) na kisha tuendelee......
Siku tukionana pale kb kwa rafaeli nitakuambia mimi ni nani!!Ningefanikiwa kukugusa ningefurahi sana....au nikupe mji uninong'oneze?
1. Bishanga- tajiri la kihaya aka Mpoki wa O'comedy!
2. nitonye- masanja mkandamizaji
3. Rejao- mizengo pinda
4. Kongosho- beatrice wa BSS.
Unamaanisha timbwili??
Habari yako Nitonye,Timbwili lako kama la Asha ngedere
Habari yako Nitonye,
Dah!uvumilivu umenishinda hii avatara yako ina maana gani,
Naitafutia nickname nakwama atii!
Dah!mbona waafrika huwa tunatabasamu,Cantalisia mie mzima. Hiyo avator nimejaribu kumuwakilisha mwafrika wa ukweli
Hehehe! Report abuse PAW a.k.a your lovely husband amlime ban...
Lol...wacha nikubali kwa shingo upande bana! Nimeondoka kitambo sana, si unajua kule kama hakuna tatizo twakutana mara moja kwa mwaka? Au wewe una mpango wa kwenda tena?....Siku tukionana pale kb kwa rafaeli nitakuambia mimi ni nani!!
Upo bado pande zile?
Hakikisha hicho kitu kinakuwa kizuri cha kunifurahisha lol.... Afu mbona nakumiss sana kongosho?....Afu wewe SL wewe
Ngoja nikutafutie kitu
Hahaha! Mke mwenza kwa masifa sikuwezi, umeshajisifia kule kwenye uzi wa wifi letu? Mie kule naingia kama guest tu!PAW ananiaminia, issue ndogo ndogo kama hizi kaniruhusu nimalize na gun!
Bishanga leta kiuno hapa, mama koku malalamiko yake ya infii niya-solve once and for all!
Naomba ubadilishe hiyo nickname ya huyu Mwanangu Cantalisia, kwanza ananiweka roho juu kila siku humu, mpaka siku hizi siweki mambo yangu ya ujanani hadharani tena.................(kwa kudai M-Pesa ili asitoe siri ndio zake) hafai huyu kuwa Binti Mtambuzi. Pili sijui hata ndululu yake ya kununulia tumbaku, mtoto nimsomeshe halafu hataki hata kurudisha chenji yangu..............Mzee mwenzangu naomba ufanye editing uondoe hilo jina la Mtambuzi hapo kwenye jina lake.Ni jambo la kawaida wanajamii kupeana 'nicknames', mimi nimeshuka na hizi:
Bishanga- tajiri la kihaya
Aspirin- babu revola
Lizzy-condoliza rice
Kongosho-AC/DC
AD-mama maua
Michelle-mrs HC
Faiza foxy-Ana makinda
Kabakabana-zipu mkononi
Cantalisia-binti mtambuzi
Mtambuzi-mzee wa busara
Husninyo-miss mpwapwa
The Boss-mzee wa nyumba ndogo
Fidel-infi wa ukweli
Figanniga - .........
popobawa - ......
...........- binti mcharuko
..........-chakubimbi
dena - chaukali
jazieni hizo dot dot (mi naogopa ban) na kisha tuendelee......
Kule kurudi bado sana...kule kwenda ni once a year otherwise kuwe na tukio ambalo ni lazima mtu uende!!Lol...wacha nikubali kwa shingo upande bana! Nimeondoka kitambo sana, si unajua kule kama hakuna tatizo twakutana mara moja kwa mwaka? Au wewe una mpango wa kwenda tena?....
Hahaha! Mke mwenza kwa masifa sikuwezi, umeshajisifia kule kwenye uzi wa wifi letu? Mie kule naingia kama guest tu!